


Alizaliwa 24 of October 1985, Croxteth, Liverpool, Merseyside ni mchezaji wa timu ya taifa ya England na sasa naichezea club ya mashetani wekunde man utd, Rooney alianzia Everton akiwa na timu ya vijana akiwa na umri wa miaka 10, in 2002 alileta mjadala baada ya kuscore goal malidadi akiwa mchezaji mdogo ktk ligi kuu ya uingeleza ktk kipindi hiko, Ghafla akawa sehemu ya timu ya Everton,Kabla ya msimu wa 2004-2005 alihamia manchester utd kwa ada ya euro 25.6 million na kuwa miongoni mwa mihimili ya kikosi cha 1 cha United, Alex Ferguson alishawahi kusema"without question, he is the best young player I hve seen in my time, Mwaka 2003 alizua mjadala England na 2004 at Euro, Mara kwa mara alichaguliwa ktk kikosi cha timu ya taifa ya England pamoja na kushirika ktk 2006 world cup,
Baada ya kuwa na Liverpool Schoolboys and Dynamo Brownwings, Everton walimsign Rooney on schoolboy terms akiwa na miaka 10,Alikwa sehemu ya timu ya vijana, na baada ya kushinda ktk kombe la FA Youth Cup match, he revealed a T-shirt under his jersey that read, "Once a Blue, always a Blue."
On 19 October 2002, siku 5 kabla ya birthday yake, 17th birthday, Rooney alishinda a match-winning goal against Arsenal, na kuvunja mwiko wa Arsenal wa kutokufungwa, Ilimfanya Rooney kuwa youngest goalscorer in Premier League history, record ambayo imewekwa mara 2; first by James Milner and then by James Vaughan. He was named BBC Sports' 2002-03 Young Personality of the Year.
mwishoni mwa msimu 2003-04, Rooney, alishindwa kuing'arisha Everton ktk European competition (twalimaliza wakiwa wa7 na kumiss UEFA Cup , Lakini in 2003-04 had narrowly avoided relegation and finished 17th), Uhamisho ulikataliwa kwani ulikuwa chini ya £50 million. baade club za Man utd na Newcastlle utd zilimgombania huyu kijana kila mmoja akita sahihi yake.TheTimes aliripoti kuwa t Newcastle wangetoa £18.5 million, as confirmed by Rooney's agent, Lkn Manchester United waliwin na kumchukua Rooney alisig at the end of the month after a £25.6 million deal with Everton was reached.
Rooney aliing'arisha United on 28 September 2004 in a 6-2 Champion league ktk makundi kwa kuifunga Fenerbahçe, scoring a hat-trick along with an assist, In September 2005, Rooney alitolewa nje ya uwanja ktkUEFA Champions League alipopambana na Villarreal ya Spain (mwiso wa mechi ilikuwa droo ) Huku akipiga makofi mbele ya referee, Kombe lake la kwanza was 2006 League Cup, alichaguliwa kuwa man of the match baada ya kushinda mara 2 United alishinda 4-0 dhidi ya Wigan Athletic ktk final. K
Rooney alitolewa nje Amsterdam Tournament match dhidi ya Porto on 4 August 2006 baada ya kuhittPorto defender Pepe na kiwiko. Alifungiwa mechi 2 na FA,
Mwanzoni mwa duru la pili 2006–07 , Rooney alikua na mabao 10 na akishinda hat trickdhidi ya Bolton Wanderers,Mwishoni mwa April, muungano wa magoli ma2 8-3 aggregate quarter-final win dhidi ya Roma and two more in a 3-2 semifinal first leg victory over Milan[19] brought Rooney's total goal amount to 23 in all competitions and tied him with teammate Cristiano Ronaldo for the team goalscoring lead.
Rooney alipata medali mwishoni mwa msimu 2006-07 season, winner's medal; he had to settle f
On 4 October 2008 in a away win over Blackburn Rovers, Rooney became the youngest player in league history to make 200 appearances.[24] On 14 January after scoring what turned out to be the only goal 54 seconds into the 1-0 win over Wigan Athletic, Rooney limped off with a hamstring ailment in the eighth minute. His replacement, Carlos Tévez, was injured himself shortly after entering the game, but stayed on.[25] Rooney was out for three weeks, missing one match apiece in the League Cup and FA Cup, along with four Premier League matches.[26]. On 25 April 2009, Rooney scored his final league goals of the season in one of the games of the season, United scored 5 goals in an emphatic second half display to come from 2-0 down winning the game 5-2. Rooney grabbed two goals, set up two and provided the assist that led to the penalty for United's first goal.[27] Rooney ended the season with 20 goals in all competitions, behind Ronaldo as leading United scorer for the season.
2009-10
Kuondoka kwa Cristiano Ronaldo kwenda Real Madrid kwa £80m, Rooney yupo tayari kuziba pengo la Ronaldo kw kushinda magoli mengi zaidi, On 22 August 2009, he became the 20th Manchester United player to have scored over 100 goals for the club, finding the net twice in a 5-0 away win at Wigan Athletic, mechi ambayo Michael Owen alishinda goli lake la kwanza for United. On 29 August 2009, United ilicheza na Arsenal ktk dimba la Old traford, alisawazisha bao baada ya Arshavin kuifungia Arsenal, kutokana na penati iliyosababishwa Almunia ,United waliibuka kidedea baada ya Diarby kujifunga mwenyewe
| “ | Everyone who watches me play knows I am an honest player, I play the game as honestly as I can. If the referee gives a penalty there is nothing you can do. | ” |
No comments:
Post a Comment