Monday, August 31, 2009

NAKARIBISHA MAONI WA2 WANG

Inakuwaje wa2 wang kama kawaida ye2 watanzania kufahamiana, kujuana ndo misingi tuliyoekewa na mibibi na mababu zetu, kupashana habari na kuwa updated na ishu za ulimwegu nawasilisha blog hii ya watu wote for more info send email to sey_duu@yahoo.com mambo mbalimbali yatakuwa yanajadiriwa mainly yanayohusu MICHEZO NA BURUDANI

1 comment:

  1. Mdogo wangu nimekubali,ki2 kipo juu ile mbaya just keep it up coz hata michuzi's walianza hivyo hivyo! Unapopata tatizo,dont hesistate just ask me mtabe nitakupa mautundu zaidi........ EXCELLENT!

    ReplyDelete